Alhamisi, 31 Machi 2016

SIRI KATIKA NYOTA NA TABIA ZA ASILI

TAMBUA SIRI KATIKA NYOTA NA TABIAZA ASILI

KUNA NYOTA ZA AINA NNE AMBAZO NDIZO NYOTA ZA ASILI NA UKITAKA KUZIKWA JUA NYOTA HIZO UNACHUKUA JINA LAKO LA BABA NA LA MAMA UNAGAWANYA NNE

    1. IKIBAKI MOJA NI MOTO .
    2. IKIBAKI MBILI NI UDONGO.
    3. IKIBAKI TATU NI UPEPO.
    4. IKIBAKI NNE NI MAJI.



NYOTA HIZI NDIZONYOTA ZA ASILI AMBAZO INATAKIWA TUZIFAHAMU MFANO MTU MWENYE NYOTA YA MOTO HATAKIWI KUFANYA KAZI ZA MTU MWENYE NYOTA YA MAJI MAANA NYOTA YAKE ITAZIMIKA.



KUNA NJIA 4 ZA KUZIFAHAMU NYOTA  ZA ASILI

JINSI YA KUFAHAMU NYOTA YAKO CHUKUA JINA LA BABA YAKO CHUKUA JINA LAKO  NA LA MAMA GAWANYA  KWA KUMI NA MBILI.
1.           IKIBAKI MOJA NI PUNDA.
2.           IKIBAKI MBILI NI NG,OMBE.
3.           IKIBAKI TATU NI MAPACHA.
4.           IKIBAKI NNE NI KAA.
5.           IKIBAKI TANO NI SIMBA.
6.           IKIBAKI SITA NI MASHUKE .
7.           IKIBAKI SABA NI MIZANI .
8.           IKIBAKI NANE NI NGE.
9.           IKIBAKI TISA NI MSHALE.
10.         IKIBAKI KUMI NI MBUZI.
11.         IKIBAKI KUMI NA  MOJA NI NDOO.
12.         IKIBAKI KUMI NA MBILI NI SAMAKI.
 
 PIA KUNA KUZIJUA NYOTA KWA KUZALIWA  KUTOKANA NA MWEZI  ULIOZALIWA MFANO.
TAREHE 19   MWEZI  WA   1   HADI   TAREHE   20  MWEZI    WA    2  NI   NDOO.
TAREHE 21   MWEZI  WA   2   HADI   TAREHE   20  MWEZI    WA      3  N I   SAMAKI.
TAREHE 21   MWEZI   WA    3   HADI   TAREHE   20  MWEZI   WA     4   NI    PUNDA.
TAREHE 21   MWEZI  WA   4    HADI    TAREHE   20    MWEZI  WA     5     NI  NG,OMBE.
TAREHE 21 MWEZI  WA    5       HADI    TAREHE  20   MWEZ I WA     6    NI  MAPACHA.
TAREHE 21 MWEZI WA    6        HADI   TAREHE   20     MWEZI  WA    7    NI KAA.
TAREHE 21 MWEZI WA    7       HADI    TAREHE    21       MWEZI  WA  8     NI   SIMBA.
TAREHE 22 MWEZI WA   8       HADI    TAREHE     22 MWEZI      WA      9         NI  MASHUKE.
TAREHE 23  MWEZI WA 9      HADI      TAREHE       22 MWEZI    WA     10     NI  MIZANI.
TAREHE 23 MWEZI WA 10     HADI      TAREHE    21 MWEZI     WA       11     NI     NGE.
TAREHE 22 MWEZI WA 11 HADI TAREHE 21 MWEZI   WA  12  NI    MSHALE.
TAREHE 21 MWEZI WA 12 HADI TAREHE 18 MWEZI WA  KWANZA  NI  MBUZI.


 PIA KUNA KUZIJUA NYOTA KWA KUTUMIA HERUFI YA MWANZO WA JINA LAKO......MFANO MWENYE HERUFI INAYOANZA NA   A,=PUNDA.  B=NG,OMBE.   C=MAPACHA.    D= KAA.   E= SIMBA.     F=MASHUKE.    G=MIZANI .  H=NGE.      I=MSHALE.    J==MBUZI.  K= NDOO.  L=SAMAKI.   M=PUNDA. N=NG,OMBE.   O=MAPACHA. P=KAA.   Q=SIMBA.   R=MASHUKE.   S=MIZANI.     T=NGE.   U=SAMAKI.   V=MBUZI.    W=NDOO.   X=SAMAKI.    Y=PUNDA.    Z=NG,OMBE..NA HIZO NI KUZIJUA NYOTA KWA KUTUMIA HERUFI YA MWANZO WA JINA LAKO.


PIA NYOTA HIZI ZIKO KATIKA MAGURUDUMU KAMA  NILIYOYATAJA HAPO NYUMA MFANO.
1.           NDOO=     MOTO
2.           PUNDA = MOTO.
3.           NG,OMBE =UDONGO
4.           MAPACHA = UPEPO.
5.           KAA=MAJI.
6.           SIMBA=MOTO.
7.           MASHUKE= UDONGO.
8.           MIZANI =UPEPO.
9.           NGE=MOTO.
10.      MSHALE=MOTO.
11.      MBUZI =UDONGO.
12.      SAMAKI = MAJI.
 
 WATU WENGI NDOA ZAO HUHARIBIKA MAANA HAWAFATI MAMBO HAYA .KUJUA  NYOTA NI MUHIMU SANA NA HATA KIBIASHARA INATAKIWA TUJUE NI HERUFI GANI ZA KUANDIKA KATIKA BIASHARA AU KATIKA MADUKA YETU.
 

Maoni 1 :

  1. Mimi na nyota ya mashuke na mpenz wang ana nyota ya punda kwel zinaendana?

    JibuFuta