TAMBUA SIRI KATIKA NYOTA NA TABIAZA ASILI
KUNA NYOTA ZA AINA NNE AMBAZO NDIZO NYOTA ZA ASILI NA UKITAKA KUZIKWA JUA NYOTA HIZO UNACHUKUA JINA LAKO LA BABA NA LA MAMA UNAGAWANYA NNE
1. IKIBAKI MOJA NI MOTO .
2. IKIBAKI MBILI NI UDONGO.
3. IKIBAKI TATU NI UPEPO.
4. IKIBAKI NNE NI MAJI.
NYOTA HIZI NDIZONYOTA ZA ASILI AMBAZO INATAKIWA TUZIFAHAMU MFANO MTU MWENYE NYOTA YA MOTO HATAKIWI KUFANYA KAZI ZA MTU MWENYE NYOTA YA MAJI MAANA NYOTA YAKE ITAZIMIKA.
KUNA NJIA 4 ZA KUZIFAHAMU NYOTA ZA ASILI
JINSI YA KUFAHAMU NYOTA YAKO CHUKUA JINA LA BABA YAKO CHUKUA JINA LAKO NA LA MAMA GAWANYA KWA KUMI NA MBILI.
1. IKIBAKI MOJA NI PUNDA.
2. IKIBAKI MBILI NI NG,OMBE.
3. IKIBAKI TATU NI MAPACHA.
4. IKIBAKI NNE NI KAA.
5. IKIBAKI TANO NI SIMBA.
6. IKIBAKI SITA NI MASHUKE .
7. IKIBAKI SABA NI MIZANI .
8. IKIBAKI NANE NI NGE.
9. IKIBAKI TISA NI MSHALE.
10. IKIBAKI KUMI NI MBUZI.
11. IKIBAKI KUMI NA MOJA NI NDOO.
12. IKIBAKI KUMI NA MBILI NI SAMAKI.
PIA KUNA KUZIJUA NYOTA KWA KUZALIWA KUTOKANA NA MWEZI ULIOZALIWA MFANO.
TAREHE 19 MWEZI WA 1 HADI TAREHE 20 MWEZI WA 2 NI NDOO.
TAREHE 21 MWEZI WA 2 HADI TAREHE 20 MWEZI WA 3 N I SAMAKI.
TAREHE 21 MWEZI WA 3 HADI TAREHE 20 MWEZI WA 4 NI PUNDA.
TAREHE 21 MWEZI WA 4 HADI TAREHE 20 MWEZI WA 5 NI NG,OMBE.
TAREHE 21 MWEZI WA 5 HADI TAREHE 20 MWEZ I WA 6 NI MAPACHA.
TAREHE 21 MWEZI WA 6 HADI TAREHE 20 MWEZI WA 7 NI KAA.
TAREHE 21 MWEZI WA 7 HADI TAREHE 21 MWEZI WA 8 NI SIMBA.
TAREHE 22 MWEZI WA 8 HADI TAREHE 22 MWEZI WA 9 NI MASHUKE.
TAREHE 23 MWEZI WA 9 HADI TAREHE 22 MWEZI WA 10 NI MIZANI.
TAREHE 23 MWEZI WA 10 HADI TAREHE 21 MWEZI WA 11 NI NGE.
TAREHE 22 MWEZI WA 11 HADI TAREHE 21 MWEZI WA 12 NI MSHALE.
TAREHE 21 MWEZI WA 12 HADI TAREHE 18 MWEZI WA KWANZA NI MBUZI.
PIA KUNA KUZIJUA NYOTA KWA KUTUMIA HERUFI YA MWANZO WA JINA LAKO......MFANO MWENYE HERUFI INAYOANZA NA A,=PUNDA. B=NG,OMBE. C=MAPACHA. D= KAA. E= SIMBA. F=MASHUKE. G=MIZANI . H=NGE. I=MSHALE. J==MBUZI. K= NDOO. L=SAMAKI. M=PUNDA. N=NG,OMBE. O=MAPACHA. P=KAA. Q=SIMBA. R=MASHUKE. S=MIZANI. T=NGE. U=SAMAKI. V=MBUZI. W=NDOO. X=SAMAKI. Y=PUNDA. Z=NG,OMBE..NA HIZO NI KUZIJUA NYOTA KWA KUTUMIA HERUFI YA MWANZO WA JINA LAKO.
PIA NYOTA HIZI ZIKO KATIKA MAGURUDUMU KAMA NILIYOYATAJA HAPO NYUMA MFANO.
1. NDOO= MOTO
2. PUNDA = MOTO.
3. NG,OMBE =UDONGO
4. MAPACHA = UPEPO.
5. KAA=MAJI.
6. SIMBA=MOTO.
7. MASHUKE= UDONGO.
8. MIZANI =UPEPO.
9. NGE=MOTO.
10. MSHALE=MOTO.
11. MBUZI =UDONGO.
12. SAMAKI = MAJI.
WATU WENGI NDOA ZAO HUHARIBIKA MAANA HAWAFATI MAMBO HAYA .KUJUA NYOTA NI MUHIMU SANA NA HATA KIBIASHARA INATAKIWA TUJUE NI HERUFI GANI ZA KUANDIKA KATIKA BIASHARA AU KATIKA MADUKA YETU.
MORE 2COME BY https://ebenezervii.blogspot.co.ke