DAWA ZA ASILI JITIBU PRESHA YA KUPANDA NA KISUKARI KWA KUTUMIA TIBA HII YA
ASILI :
Tiba inasaidia pia kuyeyusha mafuta yasiyo hitajika
mwilini.
Kinywaji hiki
cha ajabu kitakusaidia
kushusha presha, kuyeyusha mafuta
yasiyo hitajika mwilini, kupambana
na kisukari na
kuimarisha mfumo wa
mmen’genyo wa chakula
katika mwili wako.
Mahitaji
- Kijiko 1 kidogo cha mdalasini
- Vijiko viwili vikubwa vya apple cider vinegar
- Kijiko kimoja kikubwa cha asali mbichi.
- Vijiko viwili vikubwa vya juisi ya limao.
- Glasi moja ya maji
MATAYARISHO
:
Weka vitu vyote
hivyo kwenye blender
na usage kwa
pamoja kasha uhifadhi
kwenye chombo kisafi
na salama.
MATUMIZI
Kunywa dawa
yako kila siku
asubuhi kabla haujatia
kitu chochote tumboni.
TENGENEZA MCHANGANYIKO
WAKO KILA SIKU
KWA SABABU NI
RAHISI KUTENGENEZA.
Matokeo ya
kutumia mchanganyiko huu
yatakuwa ya kushangaza
na kustaajabisha.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni